Tuesday, February 10, 2015

J' ODIE ATOA VIDEO YA AINA YAKE

Baada ya ile hit ‘Kuchi Kuchi’ ya staa wa Nigeria, J’odie kaja na video mpya ya ‘Right Now’

BNStar wa Nigeria aliyekaa kwenye chati kubwa Afrika na Hit Single yake ya Kuchi Kuchi, J’odie kutoka Nigeria amedondosha mzigo wa video mpya, hii inaitwa ‘Right Now’ .
Video imefanywa ndani ya Nigeria kwa mikono ya director Ichiban Kukardi, wimbo ulitengenezwa na producer David Nnaji.
Unaambiwa ile ya kwanza ilikuwa hit miaka miwili baada ya J’odie kuiachia 2011,

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment