Nimekuwekea mkusanyiko wa Habari kubwa mbili zilizoripotiwa na kituo cha Citizen TV kutoka Kenya
Lidya Makena amejikuta akiwa na huzuni kubwa siku ya jumamosi ambapo ilikuwa siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake wake baada ya mpenzi wake huyo Samuel Kimath ambaye alikuwa mlinzi wa Mbunge wa Kabete, George Muchai kuuawa na watu wasiojulikana.
Mbunge wa huyo George Muchai aliwahi
kutamka kuwa kuna watu wana njama za kumuua japo hakuwataja, kitu
ambacho kimeacha kitendawili kikubwa huku wabunge wa Kenya wakiitaka
serikali kuwataja watu waliohusika na kifo hicho ambacho wamekihusisha
na masuala ya kisiasa.
Hutopitwa na habari yoyote mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote kupia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment