Baada ya wafanyakazi wake kuhisi amefilisika, BOSS huyu kaona awaoneshe jeuri ya fedha…
Bosi huyo Cheng Hsiao aliamua kujibu udaku huo kwa kutengeneza ukuta mkubwa wa hela ofisini wake.
Mmoja wa wafanyakazi hao Kong Lu amesema walitaka kuhakikisha kuwa mfanyabiashara huyo hakimbii bila kuwalipa, lakini wakati wanaingia ofisini walimkuta Cheng
yuko ndani akiwa amesimama, amezungukwa na ukuta mkubwa wa hela, halafu
akaanza kuwalipa wafanyakazi hao madeni yote wanayomdai pamoja na bonus
ambayo hata hawakutegemea kulipwa.
Kong
amesema amesikitishwa kwa kitendo cha kutiliwa shaka na wafanyakazi
wake kwa kuwa amekuwa mfanyabiashara na muajiri mkubwa anayehakikisha
wafanyakazi wake wote wanaenjoy kwa kuwalipa vizuri.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment