Wednesday, February 11, 2015

MSANII MKONGWE NCHINI JAFFARIII AIBUKA KIMTINDO

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Jaffarai aibuka

myjBaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu msanii mkongwe BONGOFLEVANI, Jaffarai leo ameachia single yake mpya akiwa amemshirikisha msanii Kassim Mganga, wimbo unaitwa ‘Wakati umefanywa na producer Aloneym wa Pesa Records.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jaffarai ameweka picha ya cover ya wimbo huo na kuandika ujumbe huu; “Mzigo ndo unaachiwa rasmi siku ya leo… Designed by@anko_k_tz“@
nhy
jafarai

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment