Tuesday, February 10, 2015

MASTAA WATATU WA KIKE NIGERIA WATAMBA NA WIMBO WAO WA NYRA ---VEX

Hapa kuna hii  ya mastaa watatu wa kike, Victoria Kimani, Cynthia Morgan na Emma Nyra- ‘Vex’

Vex-600x600
Moja ya ladha ambazo huwa zinakosekana masikioni mwa wapenzi wengi wa muziki ni kuzisikia collabo za wasanii wa kike.
Mastaa kutoka Nigeria wameleta ya Emma Nyra, Cynthia Morgan na Victoria Kimani.
Vex-600x600
Wimbo unaitwa ‘Vex’, karibu uisikilize hapa.

No comments:

Post a Comment