Friday, February 6, 2015

NIKKI WA PILI WAMETOA SINGLE MPYA

 Nikki wa Pili ametoa single mpya aliyowashirikisha wasanii sita

.
.
Rapper kutokea kundi la Weusi, Nikki wa pili leo Feb 6 ametuetueleza  single yake mpya iitwayo Safari amewashirikisha wasanii sita akiwemo,Joh Makini, G Nako, Nahreel, Aika, Vanessa Mdee, na Jux.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia  www.tangakumekucha.blospot.com

No comments:

Post a Comment