Thursday, February 12, 2015

NINYI WAAANDISHI SIKIENI--------NDIVYO ANAVYOONEKANA KUSEMA KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA TANGA

 Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake  kuzungumzia masuala mbalimbali ya kiusalama na yakihalifu pamoja na upitishaji wa mihadharati aina ya mirungi na madawa ya kulevya katika mipaka ya kuingia Tanga





No comments:

Post a Comment