Friday, February 13, 2015

SOKONI MGANDINI, TANGA

 Mfanyabiashara wa ndizi aina ya Mkono wa Tembo soko la Mgandini Tanga, Rashid Amary, akumuuzia mteja,Omary Mboga ambapo kidole kimoja kilikuwa kikiuzwa shilingi mia 600 hadi 800 kulingana na ukubwa.




Ndizi aina ya Mkono wa Tembo ni moja ya chakula kinachotumiwa na wau wengi na kutumiwaliwa kama mboga .

No comments:

Post a Comment