Msanii K-Nel na verse zake za mapenzi kwa Lupita Nyong’o mtu.
Wiki iliyopita jamaa huyu K-Nel aliachia video ya wimbo unaoitwa ‘Ali Baba‘ ambapo hiyo ilkuwa siku ya Ijumaa, leo ni muda mfupi tu ameachia hii ngoma ambayo kaipa jina ‘Lupita Ninyonge‘
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment