BREAKING NEEEEWS, WATU 8 WAFARIKI AJALI YA BASI DODOMA
BREAKING NEWS : BASI LA ARUSHA EXPRESS LAGONGANA NA LORI ASUBU HII
Basi la kampuni ya Arusha Express lililokuwa likifanya safari kwenda Dodoma limegongana uso kwa uso na Lory eneo la uwanja wa Ndege na watu 8 kufariki papo hapo asubuhi hii.
Hutopitwa na habari yoyote na niko tayari kukutumia muda na wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment