Thursday, March 12, 2015

CRAZY ARUDI TENA JUKWAANI

Crazy Gk karudi tena mtu wangu, ana huu wimbo mpya #Shukrani.. Feat- Vanessa Mdee

gkUnaweza kujiuliza King Crazy Gk anapokutana na Vanessa MdeeVee Money’ na kuamua kurekodi single wanaweza kurekodi nini na hiyo singo itakua ni style ipi? Itakuwa Hip hop au ya R&B?
Nadhani jibu utakuwa nalo na nitumia maoni yako kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment