Friday, March 6, 2015

MENINAH NA TETESI

Meninah kwenye uhusiano na Baraka Da Prince?

Menina tetesi za kuwepo uhusiano kati ya wasanii wawili Bongo Fleva, Meninah na Baraka Da’ Prince.
Taarifa zilizomfikia Mwandishi mmoja wa kituo cha radio  ni kwamba Baraka amekuwa anaonekana mara kwa mara nyumbani kwa akina Meninah maeneo ya Tabata na hivi karibuni alionekana kwenye duka moja Kinondoni akimnunulia Baraka nguo.
Mwandishi  amemtafuta Meninah ambaye amesema kuwa hawana uhusiano wowote ila Baraka ni mdogo wake ambaye walijuana kabla hajawa msanii na ukaribu wao wa sasa unatokana na wimbo aliomtungia na tayari ameshaurekodi, kuhusu ishu ya kutoa ujauzito wa Diamond amesema hakuna ukweli wowote.

No comments:

Post a Comment