Alexis Sanchez amefunga mabao mawili, Mesut Ozil akatupia moja na kuiwezesha Arsenal kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester United.
Arsenal iliyokuwa nyumbani Emirates, ndiyo ilitawala kwa kiasi kikubwa kipindi chote cha kwanza huku wageni Manchester United wakionekana wamepotea kabisa.
Arsenal: Cech, Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Monreal; Coquelin, Cazorla; Ramsey, Ozil, Sanchez; Walcott
Subs: Ospina, Debuchy,
Chambers, Gibbs, Oxlade-Chamberlain, Campbell, Giroud
Manchester United: De Gea, Young, Smalling, Blind, Darmian, Carrick,
Schweinsteiger, Mata, Rooney, Memphis, Martial
Subs: Romero, Jones, McNair, Schneiderlin, Valencia, Fellaini,
Wilson
No comments:
Post a Comment