Utengenezaji wa ndege nyingine ya Boeing ulivyofanyika hapa..umechukua muda gani?..
Kampuni ya kutengeneza ndege ya
Boeing wamekuja na ndege yao mpya aina ya 787-9 Dreamliner ambayo
itamilikiwa na shirika la British Airways.
Wakati wa utengenezaji wa ndege hiyo
wametuonyesha video ya behind the scenes wakati ndege hiyo ikiundwa
kiwandani kwao ambapo video hiyo imechukua dakika mbili kukamilika.
Wamesema ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba
abiria 290 itaanza safari zake mwezi huu kuanzia Delhi kwenda Abu Dhabi,
Muscat, Austin na Kuala Lumpur.
Pia ina uwezo wa kutembea mile 8,200
Ujio wa ndege yao nyingine kama hiyo Dreamliner787-10 unatarajia kuanza kazi mwaka 2018.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment