Abiria kutoka Mikanjuni kuelekea Raskazone Tanga
wakizingira daladala kupinga gari hiyo
kukatisha safari kituo cha Ngamiani na kutaka kupelekwa hadi mwisho wa kituo.
Inadaiwa kuwa madereva wengi wamekuwa na ada ya kukatisha Rout na kuwa kero kwa abiria hivyo kuzusha mitafaruku ya abiria na wenye gari.
Hii imekuwa mwiba na Polisi wa Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Sumatra wamekuwa wakilivalia njuga kwa kuwatoza Faini jambo ambalo linaonekana kana kwamba adhabu hiyo iliyowekwa kisheria ni ndogo.
No comments:
Post a Comment