Wafanyabiashara wa mkaa kutoka Wilayani Mkinga Mkoani Tanga, wakipandisha mlima Utofu kuelekea Tanga mjini kutafuta wateja. Wilaya ya Mkinga ndio inayotegemewa kwa kuzalisha mkaa na kudaiwa kuwa ni moja ya Wilaya inayotoa mkaa mzuri.
Mkaa Gunia moja lenye ujazo uliojaa lilikuwa likiuzwa 25,000 na lile na wastani lilikuwa likiuzwa kwa 20,000
Huu ni mlima Utofu ambao awali kabla barabara kujengwa palikuwa kituvu cha utakaji magari na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi ambao walitetemesha wasafiri na kuweza kudhibitiwa na jeshi la Polisi wakati huo Kamanda wa Polisi Tanga Simon Sirro aliweza kuwadhbiti na kuwatokomeza.
No comments:
Post a Comment