Wednesday, February 11, 2015

CHANGAMOTO ZA WASANII WA KIBONGO

Wasanii wa Hip Hop, Darasa na Stamina

sas
Stamina
Wasanii wawili wenye majina makubwa wa  Hip Hop Tanzania, baada ya kurekodi wimbo wa pamoja halafu baadaye ikatokea ishu ya kufutwa kwa sauti ya Darasa katika wimbo huo.
Darasa amesema kuwa alishirikishwa kwenye  wimbo na Stamina lakini kesho yake asubuhi alishangaa kupigiwa simu na kumuambia kuwasauti yake wenye wimbo huo inafutwa kwa sababu wadau wa Stamina waliousikiliza walimwambia hakukuwa na haja ya kufanya tena kazi  ya pamoja kwa kuwa mastaa hao waliwahi kufanya wimbo wa pamoja kitu ambacho kimemsikitisha.
darasa
Darasa
Soudy Brown alimtafuta Stamina ambaye amesema hakuridhishwa na wimbo huo ulivyotokea baada ya wadau wake kuusikiliza na kusema wimbo huo haujakaa sawasawa kama ilivyotakiwa.


Hakuna Stori itakayokupita mtu wangu,niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com

No comments:

Post a Comment