Zaidi ya watu 200 wahofiwa kufariki kwenye ajali hii ya majini
Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR limesema ni watu nane pekee ndio waliweza kuokolewa baada ya kukaa majini kwa siku nne huku wengine 203 kutojulikana waliko.
Msemaji wa UNHCR Italia, Bi. Carlotta Sami aliandika
katika ukurasa wake wa Twitter kuwa boti mbili zilihusika katika ajali
hiyo na zilikuwa zikitokea Libya huku kila moja ikiwa na zaidi ya watu
100.
Hakuna Stori itakayokupita mtu wangu,niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment