Unadhani kufanya Shoo na staa Davido ni kama shilingi ngapi hivi?
Star huyo ameweka wazi kuwa anafanya
muziki kwa sababu anaupenda na huwa haitaji malipo yoyote kutoka kwa
msanii ambaye anafanya naye shoo wala hakumbuki kama aliwahi kuhitaji malipo kwa ajili ya kushirikishwa kwenye ngoma yoyote.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment