Hiki huenda kikawa kipimo rahisi zaidi kugundua kansa ya mapafu…
Moja ya vitu vinavopelekea ugonjwa huu
kushindwa kutibika ni ishu ya wagonjwa wengi kufikishwa hospitali wakati
ikiwa tayari kansa ikiwa imeathiri sehemu kubwa ya mwili.
Kipimo hicho cha ‘Breathlyser‘ kiko kwenye majaribio, kikithibika kugundua tatizo hilo kitarahisisha kuokoa maisha ya wagonjwa wa kansa ambayo iko katika hatua ya kwanza.
Kwa sasa kiko kwenye majaribio na huenda kikaanza kutumika muda wowote.
Kifaa hicho kimegundulika na engineer Billy Boyle ambaye mke wake alifariki kwa kansa ya utumbo mwaka 2012, anaamini ugunduzi wake huo ni msaada kwa watu wengi duniani.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment