
Story zilizozagaa mitandaoni, inahusu ukaribu wa mastar
Ommy Dimpoz na muigizaji
Wema Sepetu baada ya kuonekana picha ambazo walizipiga wakiwa Afrika Kusini.
Soudy Brown amezungumza na
Ommy Dimpoz ambaye amesema kuwa sio mara ya kwanza kupiga picha na
Wema, kuhusu picha iliyosambaa akionekana kitandani na
Wema amesema alipigwa akiwa amelala na hajui kitu chochote juu ya picha hiyo, labda aulizwe
Wema ambaye ndio alipiga picha hiyo.

No comments:
Post a Comment