Kilichoamuliwa na familia kuhusu hatma ya mtoto wa marehemu Whitney Houston
Kwa mujibu wa familia ya Kristina na madaktari wamekubaliana kumwondolea mashine anayopumulia kesho ikiwa ni siku ambayo mama yake mzazi Whitney Houston alifariki dunia katika mazingira ya kudondoka bafuni kama mtoto wake.
Madaktari wameonyesha kukata tamaa ya
kurejesha tena maisha ya mtoto huyo na kuamua kuiachia familia juu ya
hatma ya mtoto wao kufanya maamuzi kuhusu kutoa mashine anayopumulia.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment