Mapacha hawa wanapendana, waliona waungane pia kwenye ndoa moja…
Kutoka Afrika Kusini mapacha wawili wanawake, Owami na Olwethu wenye umri wa miaka 26 wameingia kwenye headline kutokana na kukubaliana kuolewa na mwanaume mmoja, Mzukiseni Mzazi ambapo
mapacha hao wamesema walikuwa wakishirikiana kwa mambo mengi tangu
wakiwa wadogo huku wakiwa na ndoto ya kuolewa na mwanaume mmoja.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment