Michelle Obama kapendezesha sebule ya White House! Picha 3 za muonekano mpya…..
Si rahisi kuweza kuona mazingira ya ndani ya familia ya White House ya Ikulu ya Marekani lakini Michelle
aliamua kuonyesha sehemu ya sebule ambayo ameweka nakshi kwa kutumia
mapambo ya asili, sebule hiyo hutumika kwa ajili ya chakula pamoja na
shughuli nyingine za kawaida ikiwemo Obama kufanya maongezi na wageni wake.
“Sehemu hii sasa imekua moja ya vivutio, imekuwa ya kipekee… inavutia sana,”alisema mfanyakazi mmoja wa Ikulu.
Hakuna Story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment