Saturday, October 3, 2015

CCM HAPA NI KAZI TU NAMNA HIII

  Mwanakombo Abdalla mkazi wa kijiji cha Mijohoroni kata ya Kiomoni Tanga, akimueleza kwa hamasa kuwa CCM hapa ni kazi tu, Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, Emannuel Nchimbi , wakati wa kumnadi mgombea Ubunge jimbo la Tanga mjini, Omari Nundu  wakati wa mkutano wa kampeni kijijini hapo jana.



.Aliekuwa katibu wa Chadema kata ya Kiomoni Tanga, Ramadhani Mbwana, akirudisha kadi ya Chadema na kujiunga na CCM, kwa mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, Emannuel Nchimbi jana wakati wa mkutano wa hadhara wa mgombea Ubunge jimbo la Tanga mjini, Omari Nundu.
 Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, Emannuel Nchimbi, akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Tanga mjini, Omari Nundu, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mijohoroni kata ya Kiomoni Tanga jana.

No comments:

Post a Comment