Sunday, October 11, 2015

MAHAFALI YA 23 CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA TANGA

  Wahitimu wa mahafali ya 24 Chuo Cha Utumishi wa Umma tawi la Tanga wakila kiapo baada kuhitimu masomo ngazi ya cheti na diploma.



 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Habib Mkwizu akizungumza katika mahafali ya 23 Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la Tanga juzi.
 Wahitimu wa mahafali ya 23 chuo cha Utumishi wa Umma tawi la Tanga, kutoka kushoto, Zawadi Stivin , Litike William na katikati ni Sazan Lymo, wakifurahia mara baaba ya kutunukiwa vyeti vyao wakati wa mahali ya 23 Chuoni hapo juzi.

No comments:

Post a Comment