Mtoto alizaliwa bila sehemu ya kichwa na Ubongo, madaktari nao walikata tamaa lakini katimiza mwaka..
Baada
ya miezi mingi kupita akiwa anafanyiwa uchunguzi na madaktari
waligundua kuwa hakuna kinga yoyote itakayomsaidia kuendelea kuishi
lakini wazazi wake hawakukata tamaa na walifanya kila jitihada
kuhakikisha mtoto wao anaendelea kuishi.
Wazi hao waliweza kukusanya kiasi cha dola
100,000 kutoka kwa watu mbalimbali ili kuokoa maisha ya mtoto wao tangu
azaliwe na sasa ana miezi 13 na anaendelea vizuri.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment