Wakazi wa barabara ya 20 kata ya Ngamiani kusini Tanga , wakichoto maji kwenye gari la zimamoto kuzima moto katika nyumba baada ya kutokea hitilafu ya umeme baada ya gari hilo kuishiwa na maji na hivyo yaliyomo kushindwa kusukuma na kulazimika kuagiziwa gari jengine.
Wafanyakazi wa Jeshi la Zimamoto na Uokozi Tanga wakizima moto kwenye nyumba barabara ya 20 Ngamiani kusini baada ya kile kilichodaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme na kuunguza vitu vingi vya ndani na thamani yake kushindwa kujulikana mara moja.
No comments:
Post a Comment