Ujumbe wa Rais wa Marekani Barack Obama baada ya miaka 23 ya ndoa yao…
Jana Obama na mke wake walisherehekea kutimiza miaka 23 ya ndoa yao.
Obama hakuacha siku yao ipite hivi hivi alivinjari na familia yake.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment