Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mwantumu Mahiza (alievaa mtandio mweupe)
akiangalia vitambaa za kazi ya kikundi cha Sakina Saccoss cha Maawal
Woman Group cha Tanga wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho uliofanyika
juzi. Kikundi hicho kiko na wanachama zaidi ya 150 Wilaya zote za Tanga.
No comments:
Post a Comment