Mkulima wa mpunga shamba la
Chumvini kata ya Chumbageni Tanga, Ngwali Mbwana , akionyesha mpunga aina ya
Barnata aliovuna shambani kwake ambapo amesema msimu huu wa mavuno haukuwa mzuri baada ya mashamba yao
kushambuliwa na magugu aina ya Kiduha na kupata mavuno madogo.
Kilimo cha mpunga Tanga kinaelezwa kufifia baada ya wakulima wengi kuegemea kilimo cha mahindi na muhogo
Kwa habari, matukio na michezo ni haahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment