Mji Taka mfereji wa Mwanzange Tanga utokao viwandani Gofu ukiwa umeziba na maji kushindwa kupita kuelekea Baharini Sahare na kuwa kero kwa wananchi wanaokaa karibu na mfereji huo baada ya kupatwa na kitisho ambacho wamedai kuwa huenda maji hayo yakawa na Kemikali za viwandani.
Maji hayo ambayo yanashindwa kutmbea baada mfereji huo kujaa takataka na miti maji hayo yamekuwa yakituwaa jambo ambalo limekuwa kero baada ya kutoa harufu kali.
Wakazi wa Mwanzange Tanga wakipita kandokando ya mfereji uliotuwaa maji ya viwandani ambao unadaiwa kutoa harufu kali baada ya kushindwa kutembea kuelekea Baharini Sahare Tanga.
No comments:
Post a Comment