Wakazi wa Tanga wakinunua
nguo gulio la Tangamano Banda la Mwandishi maarufu wa matukio hasa ya Breaking News, Sadick TV Tanga ikiwa ni
maandalizi ya Sikukuu ya Idd El Fitri ambayo inatarajiwa kusherehekewa juma
hili baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Banda hili ambalo limesheheni mabaibui kutoka nchi mbalimbali zikiwmeo za Saudia, Jourdan, Misry na Oman.
Mmiliki wa Duka hilo ambalo liko Tangamano, Sadick Tv, ameiambia tangakumekuchablog kuwa mwaka huu wako na mabaibui na mitandio yake ya aina tofauti na ya zamani.
Wakizungumza kwa nyakato tofauti na tangakumekuchablog baadhi ya wateja wamedai kuwa bei za mabaibui hayo ni nafuu sana ikilinganishwa na maduka mengine.
Wamedai kuwa Sadick Tv wamekuwa wakijitahidi kuleta nguo, mabaibui na mafuta tofauti zikiwemo Parfumm
No comments:
Post a Comment