Wednesday, October 26, 2016

BEI YA KABICHI TANGA YAPOROMOKA

Wafanyabiashara wa makabichi soko la Mgandini Tanga wakisubiri wateja, Zao la kabichi msimu huu wakulima wamelima kwa wingi na kukosa wateja kama ambavyo baadhi ya wafanyabiashara walivyuozungumza na tangakumekuchablog.
Muzzamil Shemahonge alisema kuwa kabichi moja wanalazimika kuuza kwa 500 hadi 700 tofauti na zamani ambapo kabichi moja walikuwa wakiuza 1,500 hadi 2,000.
Wamesema soko hilo limeporomoka na kulzamika kuuza hadi 300 ili kuepuka kuwaozea mikononi.
 Mfanyabiashara wa kabichi akinywa kahawa wakati akisubiri wateja soko la Mgandini Tanga.

Makabichi yakiwa yamerundikana baada ya kukosa wateja na wauzaji kulazimika kuuza kwa bei ya hasara kuepuka kuwaozea mikononi.

No comments:

Post a Comment