Wakazi wa Usagara Tanga, Joseph Kimani, Martin Kiarie na Ali
Hamis wakiangalia majina ya askari wa
Uingereza na India waliouwawa Tanga wakati
wa vita ya kwanza ya Dunia mwaka 1914, jumla ya askari 270 waliuwawa na majina
yao kuwekwa katika kituo kilicho katika uangalizi cha Commonwealth War Graves
Cammission (CWGC)
Mkazi Usagara Tanga, Joseph Kimani, akiangalia majina ya askari wa Uingereza na India waliouwawa wakati wa vita ya kwanza ya Dunia ambapo jumla ya askari 270 waliuwawa Tanga wakati wa vita hivyo vilivyopiganwa mwaka 1914.Majina hayo yamehifadhiwa na Commonwealth War Graves Cammission (CWGC)
Mkazi wa Usagara Tanga,Devid Charles, akiangalia majina ya askari wa Uingereza na India waliouwawa wakati wa vita ya kwanza ya Dunia mwaka 1914 majina yaliyohifadhiwa na Commnwelth War Graves Commission (CWGC)
No comments:
Post a Comment