Mtu aliyevalia kama mti akamatwa Marekani
rPolisi walimsindikiza hadi kando mwa barabara kabla ya kumuweka kizuizini.
Asher baadaye aliachiliwa huru na polisi.
Aliambia BBC kwamba alikuwa akivuka barabara mara ya tatu pale alipokabiliwa na maafisa wa polisi
Anasema matawi ya miti aliyokuwa amevalia yalikuwa "yananukia".
Lakini mbona akaamua kuvalia matawi ya miti?
"Huwa nahisi nina uhusiano wa karibu na miti, naipenda sana," aliambia.
Alikuwa pia ametiwa moyo na mpiga picha Charles Freger, aliyepiga picha hii iliyo hapa chini.
Baada yake kukamatwa, Asher Woodworth anasema alikaa saa sita kizuizini kabla ya kuachiliwa huru Jumatatu.
No comments:
Post a Comment