Wavuvi soko la samaki la Deep Sea Tanga, wakikinga maji na
kuosha samaki katika kisima cha Chechem kilichozingirwa na uchafu kilichopo ufukweni mwa bahari kilichojengwa
na Wakoloni wa Kijerumani kabla ya Uhuru. Kisima hicho kinatoa maji baridi mbali
ya kuwa kiko baharini na kutumiwa na mama lishe na wakazi wa mjini Tanga
vipindi vya shida ya maji.
Kisima hicho cha ajabu kimekuwa msaada kwa wakazi wa Tanga na wavuvi katika bandari hiyo na kutajwa kuwa ni cha maajabu ambacho historia imesahaulika.
Kwa habari, matukio na michezo ni hapahapa tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment