Kaandika ujumbe Facebook kumkashifu Rais kilichofuata ni story!
Kumekuwa
na kawaida ya watu wengi kuwa na matumizi mabaya ya mitandao ya
kijamii, wengine hutumia lugha za matusi na kuweka picha chafu.
Kijana mmoja mwanafunzi wa chuo, Alan Wadi Okengo, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kukutwa na hatia ya kutumia vibaya mtandao wa kijamii wa facebook, aliandika ujumbe wa kukosoa jitihada za Serikali ya Kenya, kuhusu masuala ya usalama.
Ujumbe wa mwanafunzi huyo aliuandika hivi; “For
the security to be tight Kikuyus from other regions need to be deported
to central region! For Kenyans to enjoy their freedom, Kikuyus must be
deported to their central region”
“The
way that silly Bill proposed by silly “president” was passed by silly
Jubilee skunks and assented by the same silly “president” was wanting!”
“The
speed and temerity of the process shows the bang “president” is
desperate to dictate and throw away our democratic space! If Judiciary
won’t help, the streets will salvage Kenya! If Opposition won’t lead us
to the streets, then they might be too “orgasming” with “despotic”
leadership!”
Mwanafunzi huyo alikiri kufanya kosa
hilo na kutakiwa kulipa faini ya sh 200,000 na kwenda jela mwaka mmoja
kwa makosa ya matumizi ya lugha chafu mtandaoni na kumtukana Rais pamoja
na Bunge.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, kumekucha blog
No comments:
Post a Comment