Baba yao P Square alifariki Nov 2014, kazikwa hivi ja Jan 30 2015
Taarifa za wanafamilia zilisema mzee
huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa
sawa kabla ya kufariki ambapo jana January 30, 2015 ndio mzee huyu
amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.
Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye, baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.
Peter na Paul Okoye.
Peter na kaka yake Jude Okoye.
No comments:
Post a Comment