Mrembo wa Colombia Paulina Vega atwaa taji la Miss Universe 2014. (pichaz)
Fainali za shindano hilo zilifanyika katika ukumbi wa FIU Arena huko Miami florida, huku mrembo pekee kutoka Nigeria Celestine Queen akifanikiwa kuiwakilisha Afrika kwa kushinda taji la mtu mwenye Upendo.
No comments:
Post a Comment