Utata wa video ya Mchungaji iliyozagaa mitandaoni ikionyesha akiwa bila nguo Afrika Kusini!
Mchungaji Sthembiso Zondo
Shirika la utangazaji la Afrika Kusini (SABC) limetoa
amri ya kusimamishwa kwa Kipindi cha mchungaji huyo hadi
itakapotangazwa tena, maamuzi yaliyotolewa baada ya video inayomuonyesha
Mchungaji Zondo
akiwa hajavaa nguo iliyowekwa kwenye mitandao, video hiyo inaonyesha
kuwa ilirekodiwa na mwanamke aliyekuwa amevaa skirt ya pink lakini
hakuweza kutambulika.
Taarifa zinasema kuwa Zondo aliomba
radhi kutokana na kuvuja kwa video hiyo, japo kulikuwa na mvutano pia
wengine wakilaumu aliyevujisha video hiyo huku wengine wakimfata
mchungaji huyo ajieleze kuhusu video hiyo.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,www.tangakumekucha.blogspot.com
No comments:
Post a Comment