Baada ya kumtaka mjukuu wake atafute kazi mwenyewe afanya maamuzi haya.
Uchunguzi unaonyesha kuwa awali uliibuka
ubishani katika ya Polisi na Kijana huyo ambae haikujulikana kama ni
mjukuu wake, na baada ya mahijiano mtuhumiwa huyo alikiri kumuua babu
yake kwa kumnyonga hadi kufa baada ya kushikwa na hasira alipomwambia
akatafute kazi.
Mwili wa mzee huyo ulikutwa ukiwa umefungwa katika blangeti ndani ya chumba chake.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment