Usher Raymond aliingia zake mtaani, akatoa bonge la burudani lakini hakuna aliyemjua!
Waliosimama kumuangalia walivutiwa na
vitu viwili, kwanza ni mavazi ya rangi ya dhahabu aliyoyavaa na pia
namna alivyocheza vizuri.
Burudani hiyo aliitoa California, Marekani na baada ya watu hao kujua kwamba jamaa huyo ni Usher walishangilia kumuona staa huyo na kuanza kupiga nae picha.
No comments:
Post a Comment