
Kuna
msemo usemao duniani wawili wawili, hivi uliwahi kuambiwa kuna mtu
unafanana naye au kukutana na mtu ambaye anafanana au anafanana na mtu
unayemjua?
Hapa nimekuwekea pichaz ya Mastar ambao
kuna watoto wadogo ambao wanaonekana wanafanana nao kiasi kwamba unaweza
kuhisi picha hizo ni za mastar hao wakiwa wadogo au ni watoto wao wa
kuwazaa, lakini hawana uhusiano wowote.

John Legend Mwanamuziki, muigizaji.

Vladmir Putin, Rais wa Russia.

Tiger Woods, Mchezaji golf.

Bruno Mars, Mwanamuziki, muigizaji na Producer.

Usher Mwanamuziki, muigizaji.

The Rock Mwanamieleka, muigizaji na Producer.

Rapper Jay Z.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia, tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment