Kutokana na hofu ya Ebola, Guinea imeweka utaratibu huu kwenye michanuo ya AFCON 2015
Chama cha Soka Afrika CAF kimetangaza kuwepo utaratibu wa kufanya vipimo vya ugonjwa wa Ebola katika Michuano ya Mataifa ya Afrika, AFCON inayotarajiwa kuanza Jan 17 ambayo ni siku ya kesho.
Vipimo hivyo vitakuwa vikifanyika kwa
wachezaji, viongozi na Mashabiki wote watakaowasili katika nchi ya
Guinea ambayo michuano hiyo inafanyika
Taarifa kutoka Guinea ni kwamba tayari
Cape Verde imekuwa timu ya kwanza kuwasili nchini humo na walioongozana
na timu hiyo tayari wameshafanyiwa uchunguzi huo.
Iko hapa story yote ambayo nimekurekodia kutoka WBS TV ya Uganda hapa.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment