Tuesday, January 13, 2015

FURAHA YA USHINDI

 Wachezaji na washabikiwa wa timu ya wanawake Mkoa wa Tanga wakifurahia ushindi wa mabao 5 kwa bila baada ya kuifunga timu ya wanawake Mkoa wa Kilimanjaro katika mchezo wa mpira wa miguu wa wanawake Taifa Cup uliochezwa jana katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.





No comments:

Post a Comment