Tuesday, January 13, 2015

MIHADARATI TUMEIKAMATA

 Kaimu kamanda wa polisi Tanga, Juma Ndaki akiwaonyesha waandishi wa habari viroba 18 vya mihadharati aina ya mirungi pamoja na bangi kilo 64 iliyofichwa kwenye magunia ya vitunguu maji iliyokuwa ikisafirishwa kwenda  Kilimanjaro  mapema leo.




No comments:

Post a Comment