Jay Z na Beyonce kila mmoja macho kwenye simu ya mwenzake! Pichaz hapa…
Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya
wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa
kama sababu ya ugomvi siku hizi.
Beyonce ni mke wa Jay Z, story kubwa zaidi mitandaoni kwa sasa ziko mbili, kwanza ni zile romours za ujauzito wa staa huyo, pili ni kuhusu Bey kunaswa na kamera akiangalia kile ambacho mumewe anakifanya kwenye simu yake!
Hapa nimekuwekea pichaz za matukio mbalimbali ya Beyonce akiangalia simu ya mumewe, lakini kumbe hata Jay pia aliwahi kunaswa akiangalia simu ya Beyonce.
Nitafurahi ukiniandikia chochote mtu wangu kuhusu hii, unadhani hawaaminiani kiasi hicho?
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia,tangakumekuchablog
No comments:
Post a Comment