Hekaheka ya leo Jan 02 isikilize hapa, inahusu kibaka aliyepigwa baada ya kuiba pochi Kawe, Dar
Baada ya kupigwa sana na watu, waliokuwa
wanamjua kibaka huyo waliomba asiendelee kupigwa na kuahidi kurudisha
pochi na vitu vyote vilivyokuwemo ndani, baada ya muda kuzidi kwenda
bila vitu hivyo kurudishwa walitaka kumpeleka Polisi lakini walimsamehe
japo vitu hivyo havikurudishwa.
No comments:
Post a Comment