Kuna hii collabo mpya ya Reggae kutoka Jamaica mtu wangu, Jhikoman ft. Peetah Morgan (Audio)
Kumekuwa na idadi kubwa ya Watanzania
ambao wanafanya shughuli zao mbalimbali nje ya Tanzania na nje ya
Afrika, wachache ambao huwa tunapata nafasi ya kuona matunda ya kazi
nzuri walizozifanya huko.
Jhikoman
ni moja ya mastaa wenye majina makubwa kwenye muziki wa Reggae,
ningependa ujue kwamba huyu ni Mtanzania ambaye amepata nafasi ya
kufanya collabo na staa mkubwa duniani anayefanya muziki wa Reggae.
Nimekuwekea new joint ya ‘Afrika Arise’ ya Jhikoman kamshirikisha staa mwingine wa Reggae duniani, Peetah Morgan ambaye anatoka kundi la Morgan Heritage, Yote haya unayapata kupitia tangakumekuchablog.
No comments:
Post a Comment